Makalavati yakiwekwa eneo la barabara ya Kileuo - karibu na 'Kwa Kinyala' au kwa 'Mara-moja' |
Makalavati yakiwekwa eneo la barabara ya Kileuo - karibu na 'Kwa Mwl Vitali Kessy' |
Makalavati yakiwekwa eneo la barabara Mtembonyi - karibu na 'Idara ya Maji' |
Barabara yetu, eneo la Msufini |
Makalavati yakiwekwa eneo la barabara - karibu na 'Kwa Mtanzania' |
Barabara yetu eneo la Kiorotsunyi |
Barabara yetu eneo la juu ya Mawonyi - 'Kwa Lotoronge' |
Makalavati yakiwekwa eneo la barabara Mawonyi |
Nyingi kati ya kazi hizi zilikamilika na nyingine zinaendelea ili kuhakikisha kiwango kinachotakiwa kimefikiwa na pia ukanda wote wa kuanzia Uchira hadi juu ya Mawonyi, umbali wa 2km panaimarishwa ipasavyo kwa ajili ya uwekaji wa Lami utakaoanza siku sio nyingi. Pamoja daima tutafanikiwa zaidi. |
No comments:
Post a Comment