WAZO HILL SECONDARY SCHOOL (Chini) - SHULE YA SEKONDARI YA KISASA KABISA NA INAYOPOKEA WANAFUNZI WA RANGI ZOTE NA ILIYO NA MANDHARI BORA KABISA
UKUMBI/BWALO KUBWA LA CHAKULA NA MIKUTANO (Chini) -
BAADHI YA WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE NA NDUGU (Chini, WALIOHUDHURIA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE YALIYOFANYIKA HIVI KARIBUNI WAKIMSIKILIZA MGENI RASMI - NDG REGINALD ABRAHAM MENGI
MGENI RASMI - NDG REGINALD ABRAHAM MENGI AKIWAKABIDHI BAADHI YA WAHITIMU VYETI, AKIWA NA MMILIKI WA SHULE HIYO NDG VALENCE VENDELINI MSAKI(Kushoto)