LEKIDEA FOCUS OVERVIEW

LEKIDEA
is a registered Non-profit Organization of Kirua Vunjo East Moshi, by Natives from related Villages (Kileuo, Mrumeni, Kotule, Mero, Legho, Lasso, Kwa-Laria(Kanji), dedicated to join together, leverage their Vision, Objectives, Social strengths, ambitions & professionalism and other common resources from members, relatives and families having any origination with K.V East, to come TOGETHER, DEVELOP and CHANGE their Motherland through Projects and involvements in different Social development Initiatives that play roles in alleviating poverty and enhancing opportunities in collaboration with all well wishers, and support from social development entities from the village level, national level, and international level.

LEKIDEA :: Mwelekeo wa Michango ya Maendeleo

WANA-LEKIDEA WAPENDWA;

TUNAPENDA KUWASILISHA MAENDELEO YA MICHANGO YA WANACHAMA WA LEKIDEA HADI KUFIKIA LEO IJUMAA, AGOSTI/2012. TUNAWASHUKURU WOTE AMBAO HADI SASA WAMEENDELEA KUTOA AHADI ZAO NA MICHANGO TASLIM AMBAYO HADI SASA INAKARIBIA MILIONI AROBAINI (40MIL). LAZIMA TUSONGE MBELE NA LAZIMA TUTAFANIKIWA KATIKA MALENGO YA LEKIDEA. TUUNGANE ZAIDI, TUCHANGIE KWA CASH, AU KUPITIA BENKI AU KWA SIMU ZA MKONONI!

TUNGEOMBA KUCHUKUA FURSA HII KUWAOMBA WALE AMBAO BADO HAWAJATOA AHADI AU MICHANGO YAO, WASIENDELEE KUKUBALI KUBAKI NYUMA, TUAMKE, TUUNGANE, TUCHANGIE, TUSONGE MBELE WOTE...LAZIMA TUSONGE MBELE, TUTAFIKA.



ORODHA YA WACHANGIAJI NA AHADI HADI SASA
1
Paul Letesia Lyimo
2
Venance V. Msaki
3
Simon Njau
4
Gabriel Kessy
5
Valence Vendeline Msacky
6
Thadei Anselm Assey
7
Mh Augustine L. Mrema (MB)
8
Meku M. Nyange
9
Lucy Ndetiko Tesha
10
Martin M. Kessy
11
Joseph I. Shewiyo
12
Prof. Josaphat Itika
13
 Paul P. Malyawere
14
Apolinary Matem Kibasham
15
Prof. Beda Michael Kessy
16
Bernard N. Msacky
17
Emilian Joseph Saluo
18
Prof Ernest Mallya
19
Peter Kipipa Shewiyo
20
Sylvester Matemu
21
Paschal Assey
22
Dr Florian M Kessy
23
Dr Valence Ndesendo Kessy
24
Jerome Simon Assey
25
Prof. John Joseph Msaki
26
Damas Mavundo Assey
27
Amani Beda Kyara
28
Advocate Antony Teye
29
Liberatus F. Maina Msaki
30
Noel H. Mringi
31
Emmanuel J. Mkiwa Kessy
32
Livin Benedict Moshy
33
Juvenal Kisanga
34
Paul Sanene Z. Msaki
35
Dr Elinami Minja
36
Thomas R. Msacky
37
Alex Umbella (Diwani)
38
Edward F. Msacky
39
Thomas Kifai Tesha
40
Isidory J. Ledi Msaki
41
Dr Anthony Benedict Assey
42
Dennis Joe Msacky
43
Advocate John C. Minja
44
Steven Mloshi V. Msaki
45
Noel Kuringe Tesha
46
Sylvester Kazi Stanslaus Mbuya
47
Fr Paul Majaliyo Shewiyo
48
Reginald Mashingia
49
Stephen I. Kipipa Shewiyo
50
Ladislaus Riwa
51
Apolinary Kisanga
52
Novatus Saluo Assey
53
Livin Eugen Matemu
54
Hendry Francis Temu (Mtwara)
55
Deusdedit Valery Mriti
56
Nevil Ndepachio Msaki
57
Wilbard Michael Kessy (Samora)
58
Tiprus Minja
59
Dr Meku J. Kessy
60
Elvice Magne Beda Kyara
61
Joseph Arawa Msaki
62
Baltazary Kissenga
63
Emmanuel I. Kipuso (Buche)
64
Honest Joseph Follo Msaki
65
Majaliwa Kyara
66
Silivan Lyakinana
67
Mapinduzi Msaki
68
Richard Moris Ndetiko Tesha
69
Deogratius Ndanu
70
Mr & Mrs John Ndetiko Tesha
71
Severini Ferdinand Maski
72
Bazil Lyakinana
73
Sijali Patrice Shewiyo
74
Catherine J. Myamu Assey
75
Ritha Gervas Kessy

WEWE UKIWA MZALIWA WA LEGHO-KIRUA VUNJO MASHARIKI, UNAASWA KUCHANGIA SASA ILI UWEZE KUWA SEHEMU YA MAENDELEO YA PALE ULIPOZALIWA NA KUINGIA KATIKA HISTORIA YA MAENDELEO YETU: 

NJIA ZA KUCHANGIA NI KAMA IFUATAVYO:..

CRDB A/C:
LEGHO KIRUA DEVELOPMENT ASSOCIATION
A/C NO: 0152095786500

• Vodacom MPESA – 0755 799 133
• Tigo - TigoPESA 0653 799 133


LEKIDEA INATUWEKA MBELE...TUNASONGA MBELE DAIMA....!!

1 comment:

Anonymous said...

Ndug zangu Viongozi Lekidea, ninawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoifanya.
Naomba pamoja na kazi kubwa hii na ya kkujitolea, nawasihi mfanye pia ku-update taarifa ktk huu ukurasa,kwani kutokufanya hivyo, itapunguza ari kwa Wanachama.

Nasikitika sna kuwa nachangia lkn jina langu silioni.
MIchango sawia nimeshiriki lakini jina halipo.
Mimi ni Mwanachama lkn jina halipo.

Ndimi Sylvanus Klaus Mbuya.