SEHEMU YA KUAINISHA UZOEFU, UWEZO NA UMAHIRI WA WANA-LEKIDEA KATIKA FANI MBALIMBALI, ILI KUWAFAHAMISHA WENGINE WAPATE HUDUMA HIZO MARA WANAPOZIHITAJI:
Tunaomba Maoni na Ushauri toka kwa Wana-LEKIDEA ili kuwasilisha Taarifa zao mbalimbali kuhusu Fani, Uzoefu na katika Nyanja Mbalimbali na jinsi ya kuwezesha Wengine kuzipata huduma hizo haraka: Fani husika nia pamoja na zifuatazo:
* Wanasheria - (Lawyers)
* Wahandisi - (Engineers)
* Madaktari - (Doctors)
* Waalimu - (Teachers)
* Wataalam mbalimbali nk