LEKIDEA FOCUS OVERVIEW

LEKIDEA
is a registered Non-profit Organization of Kirua Vunjo East Moshi, by Natives from related Villages (Kileuo, Mrumeni, Kotule, Mero, Legho, Lasso, Kwa-Laria(Kanji), dedicated to join together, leverage their Vision, Objectives, Social strengths, ambitions & professionalism and other common resources from members, relatives and families having any origination with K.V East, to come TOGETHER, DEVELOP and CHANGE their Motherland through Projects and involvements in different Social development Initiatives that play roles in alleviating poverty and enhancing opportunities in collaboration with all well wishers, and support from social development entities from the village level, national level, and international level.

LEKIDEA :: Ulinzi na Usalama

LEKIDEA imeweka mikakati kamili katika kuhakikisha suala la Ulinzi na Usalama katika jamii yetu yote ya Kirua Vunjo Mashariki inaimarika, inaaminika na inaleta utulivu wa uhakika kwa Wananchi wote na pia kwa wageni, ikiwa ni pamoja na kusaidia Shughuli na gharama za mafunzo ya Mgambo katika ngazi ya Vijiji na Malengo ni kufikia hata ngazi ya Kata nzima.

Mgambo Katika Mafunzo ya Ukakamavu

Mgambo Wakiwa katika hatua ya mwisho ya Mafunzo tayari kwa Kazi ya Ulinzi


____________________________&&&_____________________________

Kadhalika, LEKIDEA ina mtizamo wa kuhakikisha malengo ya Ujenzi wa Kituo kidogo cha Polisi katika maeneo ya Kati, na hususan maeneyo ya Karumeli - Madukani ili kuondokana na utegemezi wa Kituo cha Himo pekee ambacho mara nyingi mwananchi huchelewa sana kupata huduma sahihi na ya mara moja kulinda haki ya wananchi, pale inapohitajika haraka.



Kituo Kidogo cha Polisi kama hiki ni muhimu kwa eneo la Kata yetu ya Kirua Vunjo Mashariki

Kituo kikiwepo, pia Askari wa doria watakuwepo kusaidia utulivu na Ulinzi kwa jamii nzima.

TUSHIRIKIANE, TUFANIKISHE HAYA.


No comments: