Kikao Cha Uongozi na Sekretariat ya Lekidea, Tarehe
05/08/2011ofanyika Double View Hotel Sinza Mapambano-mkabala na Ukumbi
wa Prince.
Toka Kushoto: Ngd Joseph Shewiyo(Katibu), Mzee
Apolinary Kibasham Matem(Mjumbe), Ngd Simon Njau (M/MKiti ), Noeli
Mringi Assey(Mjumbe), Thomas R. Msaky(Mhazini), Ndg Baltazary Kissenga
Assey (Mjumbe) na Ndg Paul Patrice Malyawere (Mjumbe)
Hivyo endelea kufuatilia kwa makini ukurasa huu ili uweze kufahamu na kutoa mchango wako wa mawazo na kupata mambo mazuri.
Karibuni sana
|
No comments:
Post a Comment