LEKIDEA FOCUS OVERVIEW

LEKIDEA
is a registered Non-profit Organization of Kirua Vunjo East Moshi, by Natives from related Villages (Kileuo, Mrumeni, Kotule, Mero, Legho, Lasso, Kwa-Laria(Kanji), dedicated to join together, leverage their Vision, Objectives, Social strengths, ambitions & professionalism and other common resources from members, relatives and families having any origination with K.V East, to come TOGETHER, DEVELOP and CHANGE their Motherland through Projects and involvements in different Social development Initiatives that play roles in alleviating poverty and enhancing opportunities in collaboration with all well wishers, and support from social development entities from the village level, national level, and international level.

Monday, April 13, 2015

LEKIDEA :: KUMBUKUMBU YA MATUKIO YA SIKU YA HARAMBE YA LEKIDEA, UKUMBI WA BLUE PEARL HOTEL, UBUNGO 05/12/2014





Mwenyekiti wa LEKIDEA, Ndg Edward F. Msaki akifungua siku kwa kumkaribisha Rasmi Mgeni Rasmi wa Tukio hilo Dr Charles Mlingwa, (Mkuu wa Wilaya ya Siha) aliyemuwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mh Leonidas Gama

 


Dr Charles Mlinga, [Mkuu wa Wilaya ya Siha] aliyemwakilisha Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mh Leonidas Gama, akitoa Salam na Hotuba Rasmi ya Makaribisho kwa Wana-KV, na wageni waalikwa.

Diwahi wa Kata ya Kirua Vunjo Mashariki, ambayo ndio wananchi wake waanzilishi wa Taasisi ya Maendeleo ya LEKIDEA, akitoa neno la hekima na mipango ya Maendeleo katika Kata yake na mchango wa LEKIDEA ktk kufanikisha miradi mbalimbali, na hasa Mradi wa Barabara.

Makamu Mhazini Ndg Emilian Joseph Saluo akiwasilisha Majumuisho ya Ahadi na Jumla ya Makusanyo ya Harambee
 

Meza Kuuu wakimsikiliza Makamu Mhazini akiwasilisha Majumuisho ya Ahadi na Makusanyo ya Harambee















































Picha ya Pamoja Kati ya Uongozi wa LEKIDEA pamoja na Mh Dr Charles Mlingwa [Mkuu wa Wilaya ya Siha] ambaye alikuwa mwakilishi wa Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mh Leonidas Gama.
Kutoka Kulia; Ndg. Paul Sanene Z. Msaki [Katibu wa Secretariat LEKIDEA], Thomas Roman Msaki [Mhazini Mkuu - LEKIDEA], Mh Alex Umbella [Mbunge wa Kata ya KV Mashariki], Eng Simon T. Njau [ Makamu MKiti - LEKIDEA], Mh Dr Charles Mlingwa [Mkuu wa Wilaya ya Siha, mwakilishi wa Mgeni Rasmi], Ndg Edward F. Msaki [ Mkiti - LEKIDEA], Ndg Martin M. Kessy [ Makamu Katibu - LEKIDEA], Eng Bernard Ndepachio Msaki [ Engineer, na Mwana-Secretariat], Ndg Emilian Joseph Saluo Assey [Makamu Mhazini], na Ndg Paschal Saroiya Assey [Mjumbe - LEKIDEA]


 HARAMBEE HIYO ILIYOFANYIKA TAREHE 05/12/2014 ILIWEZA KUKUSANYA KIASI CHA SHILINGI MILIONI MIA MOJA NA SABA (107,000,000) IKIJUMUISHA AHADI NA FEDHA TASLIMU.